• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kampuni ya umeme kuapa Tanesco Kukomesha Uhaba umeme mjini dar es salaam

    (GMT+08:00) 2014-09-24 19:59:18

    Kampuni ya umeme Tanzania (Tanesco) yasema kuwa hakutakuwa tena na uhaba wa umeme mjini Dar es Salaam ifikapo mwenzi Agosti mwaka ujao

    Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Tanesco, Mr Felchesmi Mramba anasema kuwa ujenzi wa vituo vya umeme vinaendelea vizuri na hivi karibuni vitakamilika hivyo wakazi wa Dar es Salaam hawatakuwa na tatizo la nguvu za umeme.

    Kwa sasa vituo vitano vimewekwa katika maeneo ya Mbagala, Gongolamboto, mjini katikati, Kurasini and Kinyerezi kusambaza umeme katika maeno ya ubungo ilala na kipawa.

    Aidha wana mpango wa kuongeza vituo 22 kwa kusambaza umeme mjini dar es salaam katika miaka kadha ijayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako