• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Msanii mwengine wa Tanzania avuliwa sare ya Wanajeshi

    (GMT+08:00) 2014-10-03 10:05:19

    Kama ilivyowahi kumtokea mwanahiphop Young Killer wa Tanzania miezi michache iliyopita ambapo alivuliwa nguo ya jeshi aliyokua ameivaa, wiki kadhaa baadae ikatangazwa tena kwenye vyombo vya habari kwamba ni marufuku kwa watu wasio Wanajeshi kuvaa nguo hizo. Mwingine aliyekutwa na mkasa huu ni msanii Linex akiwa Mbeya ambapo imefahamika kuwaWanajeshi walilazimika kuichukua suruali ya jeshi. Baada ya kuhojiwa Linux alisema ailikua amevaa nguo zinazokaribia kufanana na nguo za jeshi, zinataka kufanana kwa mbali lakini sio nguo ya jeshi. Kwenye sentensi nyingine Linex akasema hakutaka kuwa matata ila jamaa walikwenda wakasema ile ni nguo yao hivyo Linux aliingia kwenye gari iliyokua imempeleka uwanja wa ndege na kuvua nguo hiyo

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako