• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Guinea yaishukuru China kwa shehena mpya ya msaada wa kupambana na Ebola

    (GMT+08:00) 2014-10-08 18:29:22

    Hafla ya kukabidhi shehena mpya ya msaada wa kupambana na ugonjwa na Ebola unaotolewa na serikali ya China kwa Guinea imefanyika huko Conakry, mji mkuu wa Guinea,

    Kwenye hafla hiyo, waziri wa ushirikiano wa kimataifa wa Guinea Bw. Moustapha Koutoubou Sano amesema msaada huo unaonyesha China ni rafiki na ndugu wa kweli wa Guinea.

    Balozi wa China nchini Guinea Bw. Bian Jianqiang amesema Ili kuzisaidia nchi za Afrika kupambana na Ebola, China imetoa shehena mpya ya msaada wenye thamani ya yuan milioni 200 kwa nchi za Guinea, Liberia, na Sierra Leone, na msaada huo kwa Guinea ni pamoja na fedha za dola za kimarekani milioni 1 na vyakula vyenye thamani ya dola za kimarekani milioni 2.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako