• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • WHO yatangaza kuwa hakuna maambukizi ya Ebola nchini Nigeria

    (GMT+08:00) 2014-10-20 19:15:20

    Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani WHO nchini Nigeria Rui Dama Gaz ametangaza rasmi kuwa Nigeria haina maambukizi ya Ebola baada ya kutokuwa na mgonjwa mpya wa Ebola nchini humo katika siku 42 zilizopita.

    Naye msemaji wa wizara ya afya ya Nigeria Dan Nwomeh amesema, Nigeria imepongeza maendeleo hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako