• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Eneo jipya la mafuta na gesi lagunduliwa kwenye bahari ya kaskazini ya Uingereza

    (GMT+08:00) 2014-10-24 10:47:26

    Kampuni ya mafuta ya Uingereza na kundi la gesi asilia la Ufaransa limetangaza kwa pamoja kuwa eneo la mafuta na gesi limegunduliwa katika sehemu ya katikati ya bahari ya kaskazini ya Uingereza.

    Matokeo ya uchunguzi yanaonesha kuwa eneo hilo lina uwezo wa kuzaliisha mapipa zaidi ya elfu 5 ya mafuta kwa siku

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako