• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Ufaransa lafanya mashambulizi mapya ya anga dhidi ya ISIS

    (GMT+08:00) 2014-10-24 19:12:26

    Rais Francois Hollande wa Ufaransa amesema, ndege za kivita za nchi hiyo jana asubuhi lilifanya shambulizi la anga dhidi ya eneo moja lililolengwa la kundi la ISIS.

    Afisa mmoja wa ikulu ya Ufaransa amesema, ndege ya kivita ya nchi hiyo aina ya Rafale lilishambulia gari moja la ISIS lililoko kaskazini magharibi mwa mji wa Mosul nchini Iraq.

    Taarifa zilizotolewa na makao makuu ya jeshi la Ufaransa jana zimesema, jeshi hilo lilifanya shambulizi la anga dhidi ya wapiganaji wa ISIS, ambao walikuwa wakishambulia eneo linalodhitibiwa na jeshi la Iraq.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako