• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ujenzi wa ujamaa wa kisasa wahitaji uongozi na usimamizi kwa mujibu wa sheria

    (GMT+08:00) 2014-10-24 19:28:22

    Gazeti la Renminribao limetoa makala iitwayo "kupiga hatua kubwa ya kihistoria katika kutimiza utawala wa kisheria", na kusema ujenzi wa ujamaa wa kisasa unategemea uongozi na usimamizi kwa mujibu wa sheria, na ustawi wa taifa la China unahitaji uhakikisho na uungaji mkono wa utawala wa kisheria.

    Mkutano wa 4 wa Kamati kuu ya 18 ya Chama cha Kikomunisti cha China uliomalizika hivi karibuni umepitisha maamuzi ya Chama cha Kikomunisti cha China kuhusu masuala muhimu ya kusukuma mbele kwa pande zote utawala wa kisheria.

    Makala hiyo inasema mkutano huo umeonesha wazi kuwa China itashikilia njia ya utawala wa kisheria yenye umaalum wa China, na kuendelea kuujenga mfumo na uwezo wa utawala wa nchi uwe wa kisasa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako