• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha rais Michael Sata wa Zambia

    (GMT+08:00) 2014-10-30 20:18:15

    Rais Xi Jinping wa China ametoa salamu za rambirambi kwa kaimu rais wa Zambia Guy Scott kufuatia kifo cha rais wa nchi hiyo, Michael Sata.

    Rais Xi amesema, hayati rais Sata alizingatia kukuza urafiki na ushirikiano kati ya China na Zambia, ambavyo viliimarika wakati alipokuwa rais wa Zambia.

    Rais Xi ameeleza imani yake kuwa, urafiki wa jadi kati ya China na Zambia utaendelea kuimarika kutokana na juhudi za serikali na watu wa nchi hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako