• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Andy Murray afuzu fainali za ATP World Tour baada ya kumshinda Grigor Dimitrov

    (GMT+08:00) 2014-10-31 11:06:48

    Andy Murray amefanikiwa kujipatia nafasi katika fainali za ATP World Tour, kwa kupata ushindi mkubwa dhidi ya mshindi wa Wimbledon Grigor Dimitrov katika taji la Paris Masters. Murray ambaye alishindwa katika michuano ya Wimbledon, amemvuruga vibaya Mbulgaria huyo kwa pointi 6-3 6-3 katika robo fainali. Mscotland huyo mwenye miaka 27, ambaye anataka kushinda taji lake la 4 katika wiki sita, anahitaji kufikia katika nafasi nane za juu ili kufuzu kucheza fainali za mwisho wa msimu za London. Atapambana na mshindi namaba moja duniani Novak Djokovic siku ya ijumaa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako