• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa shehena mpya ya msaada wa kukabiliana na Ebola kwa nchi tatu za Afrika magharibi

    (GMT+08:00) 2014-11-02 19:23:23

    Shehena mpya ya vifaa vya msaada wa kukabiliana na maambukizi ya Ebola vilivyotolewa na China imefika katika nchi tatu za Afrika ambazo ni Senegal, Jamhuri ya Kongo na Guinea-Bissau.

    Msaada huo wa thamani ya yuan milioni 5 kwa kila nchi hizo tatu ni pamoja na nguo za kujikinga, vifaa vya kunyunyizia dawa na kupima joto.

    Ripoti iliyotolewa na Shirika la afya duniani WHO inasema, hadi Oktoba 29, watu 13,567 wameambukizwa ugonjwa wa Ebola na wengine 4,951 baada ya kuugua ugonjwa huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako