msanii
|
Gerard Oroo (mwenye shati nyekundu) pamoja na washiriki wengine kwenye tamasha za kimataifa za Changsha wakibeba bango wakati wa ufunguzi wa tamasha hizo
Tamasha za kimataifa za maonyesho ya sanamu zimekamilika mjini Changsha katika mkoa wa Hunan hapa nchini China.
tamasha hizo ziliwaleta pamoja zaidi ya wachonga sanamu 20 maarufu kutoka nchi kama vile za Afrika, China, Marekani, Ujerumani na Italia.
Bwana Gerard Mutondi Oroo kutoka Kenya ni mmoja wa wasanii walioshiriki maonyesho hayo ya wiki mbili.
Alizungumza na mwandishi wetu Ronald Mutie na alianza kwa kumuuliza sanamu alizoleta kwenye maonyesho haya ya Changsha.
Gerard Oroo azungumzia wanafunzi kwenye shule moja mkoani Hunan nchini China. Aliwaeleza kuhusu uchongaji sanamu za kiafrika na pia kuhusu tamasha za kimataifa zilizoandaliwa mjini Changasha
Gerard Oroo kutoka Kenya akisafisha mojawepo wa sanamu zake alizoonyesha kwenye tamasha za kimataifa mjini Changsha nchini China. Zaidi ya wasanii wengine 20 kutoka kote duniani walishiriki
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |