• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • WTO yalitaka kundi la nchi 20 kupunguza vikwazo vya biashara

    (GMT+08:00) 2014-11-07 19:53:48

    Shirika la biashara Duniani WTO jana lilitoa ripoti kuhusu hatua za biashara za kundi la nchi 20 katika kipindi cha kuanzia katikati ya mwezi Mei hadi katikati ya mwezi Oktoba mwaka huu. Ripoti hiyo imezitaka nchi za kundi hilo zipunguze zaidi hatua za vikwazo vya biashara.

    Ripoti hiyo inaonyesha kuwa, katika kipindi hicho, kundi hilo limechukua hatua 79 za kuhimiza biashara pamoja na hatua 93 mpya za vikwazo vya biashara, ambazo nyingi kati yao ni za kujilinda kibiashara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako