• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China kuhudhuria mkutano wa 9 wa kilele wa Kundi la nchi 20

    (GMT+08:00) 2014-11-07 19:58:22

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China Bw. Qin Gang leo amesema, kutokana na mwaliko wa waziri mkuu wa Australia Bw. Tony Abbott, rais Xi Jinping wa China atahudhuria mkutano wa 9 wa viongozi wa Kundi la nchi 20 utakaofanyika tarehe 15 hadi 16 mwezi huu mjini Brisbane, Australia.

    Aidha, kutokana na mwaliko wa viongozi wa nchi za Australia, New Zealand, na Fiji, rais Xi Jinping pia atafanya ziara rasmi katika nchi hizo kuanzia tarehe 16 hadi 23 mwezi huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako