• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Afrika kusini kuangazia maswala ya Afrika kwenye G20

    (GMT+08:00) 2014-11-11 11:37:56

    Afrika Kusini itatumia mkutano wa G20 utakaofanyika Australia kufahamisha maswala yanayohusu nchi hiyo na bara la Afrika kwa jumla.

    Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ataongoza ujumbe kwenye mkutano huo mjini Brisbane kati ya tarehe 13 na 16 mwezi huu. Washiriki wa mkutano huo watajadili ni vipi nchi za G20 zinaweza kuchukua hatua zaidi kukuza uchumi duniani kwa kutekeleza sera zinazolenga kuinua pato la jumla kwa asilimia 2% ndani ya miaka 5 ijayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako