• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • 28 wauwawa kwenye basi kaskazini mwa Kenya.

    (GMT+08:00) 2014-11-22 20:27:33

    Watu 28 wameuawa na wengine kujeruhi baada ya basi la abiria kushambuliwa katika eneo la Mandera kaskazini mwa Kenya.

    Naibu kamishena wa kaunti ya Mandera mashariki Elvis Korir amesema watu mia moja hivi wenye silaha walisimamisha basi hilo lililokuwa likielekea mjini Naiorbi saa 11:30 alfajiri na kuwataka abiria wote kushuka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako