• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kikosi cha matibabu cha China nchini Liberia chaanza kuhudumia wagonjwa wanaodhaniwa kuambukizwa Ebola

    (GMT+08:00) 2014-12-08 10:01:30

    Kuanzia tarehe 5 usiku, kikosi cha matibabu cha jeshi la China nchini Liberia kimepokea watu watatu wanaodhaniwa kuambukizwa ugonjwa wa Ebola, ambapo kituo cha matibabu cha Ebola kinachoendeshwa na China nchini humo kimeanza kuwahudumia wagonjwa wa Ebola.

    Mpaka sasa, kituo hicho kimechukua sampuli za damu ya wagonjwa hao, na kuzipeleka kwenye shirika husika kupima, ili kuthibitisha kama wameambukizwa virusi vya Ebola.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako