• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Van Gaal awataka Neville na Scholes kujihadhari na matamshi yao kuhusu klabu hiyo

    (GMT+08:00) 2014-12-15 15:53:08

    Mkufunzi wa Manchester United Louis Van Gaal amewaambia wachezaji wa zamani wa kilabu hiyo Gary NevilLe na mwenzake Paul Scholes kwamba hawajui chochote kinachoendelea katika kilabu hiyo.

    Kauli hiyo inatokana na matamshi ya Neville kuwa Manchester United inalinda lango lake kama kilabu ya walevi. Van Gaal amemtaka Neville kujihadhari na matamshi anayotoa kuhusu klabu hiyo. Kabla ya Manchester U kuvaani na Southampton ijumaa, Neville alinukuliwa akisema kutazama mechi hiyo ni sawa na kuangalia mbwa na Bata wakicheza dhidi ya simba mwekundu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako