• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatuma wataalam wa afya nchini Guinea Bissau kutoa mafunzo kuhusu njia za kuzuia Ebola

    (GMT+08:00) 2014-12-17 10:02:48
    Kikundi la wataalam wa afya ya umma kutoka mkoani Sichuan China wataenda Guinea-Bissau kutoa mafunzo kwa wahudumu wa afya kuhusu kuzuia homa ya ebola nchini humo.

    Wataalam hao watatu wataondoka kesho ili kutoa mafunzo ya mwezi mmoja kwa wahudumu wa afya 500 nchini Guinea Bissau.

    Hadi kufikia mwezi Oktoba, China ilikuwa imetuma wataalam 450 wa afya katika nchi za Afrika magharibi na kuzijengea nchi hizo maabara na vituo vya matibabu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako