• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Dirisha la kuwasajili wachezaji wa kigeni lafungwa nchini Tanzania

    (GMT+08:00) 2014-12-17 15:21:40
    Usajili wa wachezaji kwa dirisha dogo nchini Tanzania katika mwaka 2014/2015 umefugwa rasmi jana usiku kwa vigogo wa soka Simba, Yanga pamoja na Azam kusajili nyota wengi wa kigeni. Simba yenye maskani yake msimbazi wamefanya usajili wa wachezaji Hassan Kessy kutoka Mtibwa, Dan Sserunkuma ,Simon Sserunkuma, na Beki Juuko Murushid kutoka Uganda na kukamilisha idadi ya wachezaji watano toka Uganda akiwemo Joseph Owino na mshambuliaji Emmanuel Okwi. Yanga nao wamefanya marekebisho ya kikosi chao kwa kuwasajili Dany Mrwanda , Kpah Sherman toka Aries Fc na Amisi Tambwe kutoka Simba Sc. Nao mabingwa watetezi Azam wamewasajili beki Serge Wawa Pascal kutoka Ivory Coast, kutoka El Merreikh ya Sudan na Amri Kiemba wa klabu ya Simba na winga Brian Majwega kutoka klabu ya Kcca.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako