• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nyota wakubwa wapeana zawadi za kifahari za Krismas

    (GMT+08:00) 2014-12-24 14:38:33

    Wakati kilele cha sikukuu ya Krismas ikiwa ni kesho mastaa mbalimbali wameendelea kuonyesha kusherehekea kwa kufanya matukio mbalimbali ikiwa kama ni ishara ya kuhitimisha furaha yao. Staa Iggy Azalea ambaye hivi karibuni amejizolea tuzo tatu za American Music Awards 2014 kwa upande wa hipo hop ameamua kumzawadia Boyfriend wake Nick Young gari kama zawadi ya sikukuu ya Krismas. Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa Iggy kwa sasa ana utajiri wa dola milion 5 na zawadi yake haikua ya bei rahisi kwa sababu ametumia zaidi ya dola 100,000 Nick Young ameonekana kuifurahia zawadi hiyo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram ambapo alimshukuru kwa zawadi hiyo ya krismas na kusisitiza anampenda sana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako