• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rodgers asema hana mpango wa kumuuza Mario Baloteli

    (GMT+08:00) 2014-12-29 14:01:00
    Kocha wa Liverpool Brendan Rodgers amesema hana mipango kabisa ya kumuuza mshambuliaji wa kilabu hiyo Mario Baloteli wakati wa dirisha la uhamisho la mwezi Januari. Kulingana na gazeti la Dello Sport, mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 24 na ambaye amefunga mabao mawili katika mechi 15 huenda akahamishiwa Inter Milan.Hata hivyo Rodgers alikanusha na kusema hicho si kitu alichofikiria kufanya. Amesema msimu huu kumekuwa na mechi nyingi na kwa sasa jambo muhimu ni kukiweka kikosi hicho pamoja. Liverpool ilikuwa ya pili katika msimamo wa ligi ya Uingereza na walijulikana kwa mchezo wao wa kasi na 'gusa' ni 'guse'.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako