• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Liverpool yailaza Swansea 4-1

    (GMT+08:00) 2014-12-30 14:22:32
    Adam Lallana alitikisa wavu mara mbili wakati timu yake ya Liverpool ikichuana na Swansea katika mechi iliokamilika huku Swanswea ikifungwa mabao 4 kwa moja.

    Baada ya Alberto Moreno kuiweka kifua mbele Liverpool kunako dakika ya 33 Lallana naye aliongeza la pili dakika ya 51 na kufanya mambo kuwa mbili kwa nunge.

    Bao la pekee la Swansea lilitiwa kimyani na Gylfi Sigurdsson dakika ya 52 lakini baadaye Jonjo Shelvey wa Swansea akasababishia timu yake hasara kwa kujifunga mwenyewe dakika ya 69.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako