• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Klabu ya Zambia yalenga kumsajili David Calabar Owino wa Gor Mahia

    (GMT+08:00) 2014-12-30 14:23:25
    Klabu moja ya Zambia imesema kwamba inapanga kumsajili mchezaji wa Gor Mahia David Calabar Owino.

    David Owino, ambaye bado yuko kwenye kandarasi ya miezi sita na timu ya Gor Mahia amekiuwa akilengwa na vilabu kadhaa ikiwemo Azam ya Tanzania na Ajax Cape Town ya Afrika Kusini.

    Duru zinasema kwamba Zambia tayari imeanza mazungumzo na David na wanapania kumpa donge nono.

    Ikiwa basi David atajiunga na klabu hiyo, Gor Mahia itakuwa imepoteza mchezaji mwinghine mairi baada ya Dan Sserunkuma na kiungo wa kati Baba Kizito kukataa kusaini upya kandarasi zao na klabu hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako