• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • George 'Hekima Owino aiaga Sofapaka

    (GMT+08:00) 2015-01-09 14:15:42
    Aliyekuwa beki wa Harambee Stars George 'Hekima Owino ameamua kuaga klabu ya Sofapaka. Mchezaji huyo alitangza kuondoka kwenye klabu hiyo kupitia ukurasa wake wa facebook na anasema ana hamu ya kuendelea kucheza lakini kwenye klabu nyingine. Alisema angependa kuishukuru Sofapaka, na wadau wote akiwemo rais Elly Kalekwa, benchi ya kiufundi , wachezaji na wafanyakazi kwa miaka minne waliokuwa pamoja.

    Owino hata hivyo hajataja anakoelekea lakini amesema sasa wakati umefika kwake kutafuta changamoto nyingine akiwa na nia ya kujiboresha uwanjani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako