• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Manchester City yamchukua Wilfried Bony

    (GMT+08:00) 2015-01-12 14:03:32
    Kilabu ya Uingereza Swansea City imekubali dau la uhamisho ya takriban pauni milioni 30 kutoka kwa Manchester City la kumnunua Wilfried Bony mwenye umri wa miaka 26. Meneja wa Swansea, Gary Monk amesema kuwa itahitaji "kitita cha ajabu" kumhamisha Bony kutoka Swansea. Alikuwa mfungaji bora wa mwaka wa 2014 akipachika mabao 20. Bony alijiunga na Swansea mwaka 2013 kutoka Vitese Arnhem kwa pauni milioni 12. Mchezaji huyo kwa sasa yuko na kikosi cha timu ya taifa ya Ivory Coast kujiandaa na michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako