• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rapa wa Marekani akiri kufanya mapenzi na ndugu yake wa damu

    (GMT+08:00) 2015-01-12 14:04:04
    Nchini marekani huwa hakuishi vituko hasa miongoni mwa wasanii ambao siku zote wamekuwa wakipenda kuzungumzwa kwenye vyombo vya habari huku ikiaminika kuwa kuzungumzwa sana ndio hasa kinachowaongezea umaarufu. Hali hii imeonekana wazi baada ya rapa asiyejulikana sana Kevin Gates kukiri kufanya mapenzi na msichana ambaye amekuja kugundua kuwa ni ndugu yake wa damu. Kevin Gates akitumia ukurasa wake binafsi wa mtandao wa kijamii wa Instagram alikiri kufanya mapenzi na ndugu yake wa damu baada ya kuthibitishiwa na bibi yake na pamoja na kugundua hivyo rapa huyo amesema kuwa hana mpango wa kuachana na binti huyo na uhusiano uliopo baina yao utaendelea. Gates alipost video ambayo alikiri kuwa na uhusiano na binti huyo akisema hawezi kumuacha msichana huyo kwani ananiridhisha kimapenzi na hata kama ni ndugu yeye hakukua pamoja na yeye wamekutana ukubwani tu na hawezi kumuacha hata kama ni ndugu yake wa damu hawezi kuzuia kitu kizuri kinachoendelea kati yao.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako