• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Athari za uchumi kutokana na Ebola kupungua

    (GMT+08:00) 2015-01-21 10:03:20

    Ripoti mpya ya utafiti wa Benki ya Dunia inaonyesha kwamba athari za kiuchumi nje ya nchi zilizoathirika na ebola Guinea, Liberia na Sierra Leone ni za chini kuliko ilivyotarajiwa kutokana na juhudi za kimataifa na za kitaifa za kupambana na janga hilo miezi kadhaa iliyopita. Tathmini ya mwezi Oktoba ya benki hiyo inaonyesha kuwa nchi za Afrika magharibi pekee zingepoteza hadi dola bilioni 25 lakini sasa inaonyesha nchi tatu zilizoathrika sana zitapoteza dola bilioni 1.6.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako