• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Makabila madogo madogo yana asilimia kubwa ya wawakilishi katika bunge la umma la mkoa wa Tibet

    (GMT+08:00) 2015-01-22 18:55:07

    Watibet na makabila mengine madogo madogo yanachukua zaidi ya asilimia 70 ya wawakilishi katika bunge la umma la mkoa wa Tibet, China.

    Ofisa wa ofisi kuu ya kamati ya kudumu ya bunge hilo Zeng Zhonghua amesema, jumla ya wawakilishi 443 wanahudhuria mkutano wa mwaka wa bunge hilo, na kati yao, 311 wanatoka kabila la Watibet na makabila mengine madogo madogo.

    China ina jumla ya makabila 56, mkoani Tinet pekee kuna makabila madogo madogo 45, yakiwa na watu miliono 3.1. Han ni kabila kubwa zaidi ambalo watu wake wanachukua asilimia 93 ya idadi ya jumla ya watu wa China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako