• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Liberia asema ebola imeathiri sana uchumi

    (GMT+08:00) 2015-01-27 09:57:41

    Rais Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia amesema janga la ebola limeathiri nchi yake sio kiafya na kijamiii tu bali pia kiuchumi. Amesema ebola imefanya kupungua kwa ukuaji wa kiuchumi kutoka asilimia 5.9 hadi 0.4 huku sekta kama vile uchimbaji madini, biashara, uchukuzi na sekta ya huduma zimeathirika zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako