• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kundi la China linalotoa mafunzo kwa Togo laanzisha mafunzo juu ya kinga na udhibiti wa Ebola

    (GMT+08:00) 2015-01-28 10:30:35

    Wataalam wa China wanaotoa msaada wa afya ya umma kwa Togo jana walianza kutoa mafunzo ya kinga na udhibiti dhidi ya Ebola kwa madaktari na wauguzi wa Togo.

    Wataalam watatu wamewafahamisha madaktari na wauguzi 30 wa mji wa Lome kuhusu umaalum wa maambukizi ya ugonjwa wa Ebola, uzoefu wa China katika kukinga na kudhibiti magonjwa ya maambukizi, pamoja na mbinu na hatua zinazochukuliwa na WHO katika kukinga na kudhibiti Ebola.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako