Kenya ndio nchi inayoongoza kwa mauzo ya nje ya majani chai na zao hilo ni muhimu kwa ajili ya fedha za kigeni kwa uchumi wa kenya.
Wakati huo, bei ya juu kahawa bora ilishuka hadi dola 456 kwa mfuko wa kilo 50 katika mnada wiki hii kutoka dola 486 katika uuzaji uliyopita, hii nikulingana na mnada wa kahawa wa nairobi.
Kenya imeazisha mpango wa kuipa kahawa majini ili kuboresha jina la nchi na kusaidia sekta hiyo kuweza kupata nafasi yake ya fedha za kigeni.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |