• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waandishi wa habari waalikwa kuripoti mikutano ya kisiasa itakayoanza Machi 5 nchini China

    (GMT+08:00) 2015-02-01 21:02:24

    Waandishi wa habari kutoka nchini China na nje ya nchi wamealikwa kuripoti kuhusu mikutano mikuu ya kisiasa ya China itakayofanyika Machi mwaka huu.

    Mikutano hiyo inayojulikana kama "mikutano miwili" kwa ufupi ni pamoja na mkutano wa mwaka wa bunge la umma la China NPC utakaofunguliwa Machi 5 na mkutano wa baraza la mashauriano ya kisiasa la China CPPCC, ambacho ni chombo cha ngazi ya juu zaidi nchini China kinachotoa ushauri wa kisiasa, utakaofunguliwa Machi 3.

    Waandishi wa habari kutoka nchini pamoja na wale wa kigeni wanaokaa nchini China wanatakiwa kuwasilisha maombi yao kabila ya tarehe 25 mwezi huu.

    Tovuti za mikutano hiyo miwili zimefunguliwa leo na kutoa habari zinazohusiana na mikutano hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako