• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Chama cha Kikomunisti cha China chasukuma mbele mkakati wa kazi nne katika pande zote ili kuhimiza ustawi wa China

    (GMT+08:00) 2015-02-25 18:55:37

    Kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China chini ya uongozi wa katibu mkuu wake Bw. Xi Jinping, imeendelea kuhimiza ustawi wa China kwa kufuata njia ya ujamaa wenye umaalum wa Kichina kwenye msingi wa juhudi zinazofanywa na chama na umma tangu kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China.

    Kwenye mkutano wa kwanza wa mafunzo ya pamoja wa ofisi ya siasa ya kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China uliofanyika mwanzoni mwa mwaka huu, katibu mkuu wa kamati hiyo ambaye pia ni rais wa China Xi Jinping alisema, Chama cha Kikomunisti cha China si kama tu kinatilia maanani kutoa mipango ya jumla, bali pia kitashughulikia mambo muhimu. Kazi ya kujenga jamii yenye maisha bora, kuimarisha mageuzi, kuongeza wazo la kutawala nchi kwa mujibu wa sheria, na kusimamia chama kwa makini, haziwezi kutekelezwa kwa kujitegemea, bali zinahusiana na zinaonesha mustakabali wa ujamaa wa China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako