• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania kushiriki mbio za Nyika Duniani zinazofnyika hapa China

    (GMT+08:00) 2015-02-26 14:42:31

    Chama cha Riadha nchini Tanzania (AT) kimesema kina matumaini kuwa wakimbiaji wa Tanzania watafanya vizuri katika mbio za Nyika za Dunia zitakazofanyika tarehe 28 Machi mwaka huu hapa nchini China katika mji wa Guiyang. Wakimbiaji kutoka katika nchi za Afrika, kama vile Kenya, Uganda Ethiopia, Eritrea, Morocco na nyinginezo wamekuwa wakifanya vizuri zaidi katika michuano hiyo mikubwa na kushinda medali. Uganda inategemewa kuwa wenyeji wa Michuano hii mwaka 2017. Nyambui amesema wanategemea kuchagua wakimbiaji watano wanaume, baada ya kupewa nafasi na waandaji, ambao watagharamia kila kitu kwa washiriki zikiwemo gharama za usafiri, malazi na chakula.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako