• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wakulima wa Kalagal wazindua chama cha ushirika.

    (GMT+08:00) 2015-02-27 20:35:50

    Wakulima wa eneo la Kalagala nchini Uganda hatimaye wamezindua chama cha ushirika ambacho kinatarajiwa kuwainua katika hali za kutafuta mtaji.

    Wenye chama hicho wanasema mpango wao mkuu ni kutumia chama hicho kujipatia mapato ya kukuza kilimo cha kufuga kukuwa nyama na mayai katika eneo hilo lao.

    Mwanasiasa wa zamani Daktari Abedi Bwanika ambaye alikuwa mgeni wa heshima katika hafla ya uzinduzi amewataka pia watu wa eneo hilo kutumia fursa ya vyama vya ushirika kujiendeleza pia katika mambo mengine ya kijamii.

    Vyama vya ushirika nchini Uganda vimekuwa vikiongezeka kwa haraka baada ya serikali kutangaza kuwa ni njia moja ya kukuza mtaji wa kilimo na kibiashara kwa jamii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako