• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kituo cha uratibu wa forodhani cha ukanda wa njia ya hariri chaanzishwa

    (GMT+08:00) 2015-04-14 10:31:10

    Kituo cha uratibu wa forodhani wa ukanda wa njia ya hariri kimeanzishwa jana mjini Qingdao, kituo hicho kitakuwa kiini cha mageuzi ya utaratibu wa forodha katika ukanda huo.

    Kutokana na taarifa ya idara kuu ya forodha ya China, forodha 10 za ukanda huo zitaanzisha mageuzi ya utaratibu wa forodha kuanzia tarehe mosi Mei, na kuvunja kikomo cha kijiografia na kikomo cha eneo la forodha, kuunda mfumo wa usimamizi na uendeshaji wa utaratibu wa forodha, kurahisisha utaratibu huo, kupunguza gharama za kusafirisha bidhaa, na kufanya hali ya kupita forodhani katika sehemu tofauti iwe kama forodha moja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako