• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ujenzi wa "Ukanda Mmoja na Njia Moja" waanza kupamba moto nchini China

    (GMT+08:00) 2015-04-14 20:14:08

    Ujenzi wa "Ukanda Mmoja na Njia Moja" umeanza kushika kasi nchini China ambapo serikali kuu imezitaka sehemu mbalimbali kutumia uwezo wao vilivyo na kuunganisha mipango yao na mpango wa mzima wa taifa

    Mkoa wa Shaanxi ulio kaskazini magharibi mwa China umeimarisha ushirikiano na nchi zilizo njia ya hariri, na kusaini miradi zaidi 100 na nchi za Asia ya Kati.

    Nao mkoa wa Yunnan ulio kusini magharibi mwa China, umeweka mpango kabambe wa miaka mitano wa ujenzi wa barabara ya kasi, njia za reli na usafiri wa ndege.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako