• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maendeleo ya usimamizi wa mtandao wa internet ya China

    (GMT+08:00) 2015-04-16 14:02:10

    Siku hizi kuwasiliana na mtu yoyote katika nchi yoyote imekuwa rahisi, habari, picha na video vinawafikia watu kwa urahisi sana ikilinagnishwa na miaka ya nyuma. Lakini kwa upande mwingine urahisi huo umeleta changamoto kubwa sana kwa jamii na hata kwa serikali za nchi zenye matumizi makubwa ya mtandao wa Internet. Serikali ya China imeweka kanuni, sheria na hatua nyingi za kusimamia mtandao wa Internet. Kule nchini Tanzania, Zambia na nchi nyingine za Afrika, watu wametambua umuhimu wa usimamizi wa mtandao wa Internet, na baadhi ya nchi zimetoa sheria kuhusu usimamizi wa mtanao wa Internet. je, Wenzetu wa Afrika wanaweza kujifunza nini kutoka wachina? Kwa undani zaidi hebu sikilize kipindi chetu.

     


    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako