• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nchi za nje zaweza kushiriki kwenye ujenzi wa "ukanda wa kiuchumi wa njia ya hariri na njia ya hariri ya baharini ya karne ya 21"

    (GMT+08:00) 2015-04-17 10:45:36

    Ofisa husika wa kamati ya maendeleo na mageuzi ya China Bw. Ou Xiaoli amesema nchi zote duniani zinaweza kushiriki kwenye ujenzi wa "ukanda wa kiuchumi wa njia ya hariri na njia ya hariri ya baharini ya karne ya 21", ili kutoa mchango kwa ustawi na maendeleo ya uchumi wa nchi yake na wa kanda lake.

    Bw. Ou Xiaoli amesema "ukanda wa kiuchumi wa njia ya hariri na njia ya hariri ya baharini ya karne ya 21" ni jukwaa lililo wazi, sio tu nchi 60 zilizoko katika njia hiyo, na bali pia nchi zote zikitaka kushiriki, zinaweza kushiriki kwenye mpango huo.

    Bw. Ou amesema mpango huo unapita mabara ya Asia, Ulaya na Afrika, China inatoa mpango na kutumai nchi zote kufanya juhudi ili kuhimiza maendeleo ya mabara ya Ulaya na Asia na kuyafanya yang'are tena.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako