• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Lewis Hamilton ashinda mbio za Bahrain Grand Prix

    (GMT+08:00) 2015-04-20 15:28:42
    Lewis Hamilton ameshinda katika mbio za magari za Bahrain Grand Prix huku dereva mwenzake wa timu yake Nico Rosberg akishindwa baada ya gari lake kupatwa na matatizo ya breki huku akiwa amebakisha mizunguko miwili tu na nafasi ya pili kuchukuliwa na dereva wa Ferrari Kimi Raikkonen. Hamilton aliongoza kuanzia mwanzoni na mara zote alidhibiti mbio ambapo amechukua ushindi wa tatu katika mashindano manne ya mbio msimu huu. Mercedes ilitarajia kupata changamoto kutoka kwa Ferrari wakati mbio hizo lakini Hamilton baada ya kuongoza akawa anadhibiti mbio hizo hadi mwisho.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako