• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Arsenal yamtengea kiungo Isco Roman wa Real Madrid kiasi cha pauni milioni 35 

    (GMT+08:00) 2015-04-22 14:30:32
    Arsenal imeanza mikakati yake ya kujiimarisha kwa ajili ya msimu mpya wa ligi kuu ya England na safari hii imeanza mbinu zake za kutaka kunasa saini ya kiungo wa Real Madrid. Meneja wa klabu hiyo Arsen Wenger amemtengea kiungo Isco Roman kiasi cha pauni milioni 35 ili aweze kuhamia ndani ya klabu hiyo. Arsenal ambayo imetinga hatua ya fainali michuano ya FA itakutana na Aston Villa katika uwanja wa Wimbley, London pia imepanga kuwasajili nyota wengine msimu ujao.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako