Huko nchini Ujerumani katika uwanja wa Allianz Arena, FC Bayern wamefanikiwa kuiondoa FC Porto kwenye michuano hii kwa ushindi mnoni wa 6-1. Magoli ya Bayern yalifungwa na Alcantara, Boeteng, Lewandoski aliyefunga mawili, Muller na Xabi Alonso akifunga la 6 huku Jackson Martinez akifunga goli moja la Porto – kwa ushindi huo Bayern imeingia nusu fainali ikiwa na jumla ya ushindi wa magoli 8-4. Ligi hii itaendele leo kwa michezo dhidi ya Atletico Madrid vs Real Madrid na mchezo mwingine ni. Juventus vs Monaco.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |