• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Brendan Rodgers maji yamfika shingoni

    (GMT+08:00) 2015-04-22 15:31:10
    Kocha wa klabu ya Liverpool Brendan Rodgers yupo kwenye wakati mgumu baada ya kushindwa kutwaa taji lolote katika misimu mitatu ya mwanzo ya kuwanoa vijogoo hao wa Anfield. Hii ni rekodi ambayo haijawahi tokea kwa kocha yeyote tangu mwaka 1950 ndani ya kikosi hicho. ,Je ni wachezaji wasiokidhi viwango?, au ni mbinu za kocha ziligonga mwamba? hayo ni baadhi ya maswali ambayo bado hayana majibu, huku Brendan Rodgers hata kama anakula basi chakula hakishuki uzuri kwani hajui nini hatima yake kufuatia kuboronga huko.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako