• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa heshima wa klabu ya Everton Sir Philip Carter afariki dunia

    (GMT+08:00) 2015-04-24 09:42:31
    Rais wa heshima wa klabu ya Everton Sir Philip Carter amefariki dunia akiwa na miaka 87. Taarifa kutoka klabu ya Everton imethibitisha kifo hicho na Kueleza Carter alifariki akiwa nyumbani kwake Alhamisi asubuhi baada ya kuugua kwa muda mfupi. Carter, alikua shabiki wa timu hii tangu utotoni ambapo mwaka 1973 alijiunga na timu kama mkurugenzi na mwaka 1978 akawa mwenyekiti wa timu. Wakati wa uongozi wake kama mwenyekiti akiwa na meneja Howard Kendall, Everton, ilishinda mataji ya FA cup mwaka 1985, 1984 na 1987 na Kombe la Ulaya 1985. Alichaguliwa kuwa Raisi wa heshima wa maisha wa timu ya Everton mwaka 2004.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako