• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • BBC kutoa tuzo kwa Mwanasoka bora wa kike

    (GMT+08:00) 2015-04-29 09:11:43

    Mashabiki wanapewa fursa kumpigia kura mchezaji bora wa soka wa BBC mwaka huu kwa upande wa wanawake likiwa ni taji la kwanza kuandaliwa na chombo cha habari cha kimataifa. Miongoni mwa wachezaji watano walioteuliwa, yuko Asisat Oshoala anayechezea timu za Nigeria na Liverpool. Tayari ana mataji ya mchezaji bora wa mwaka na mchezaji bora chipukizi mwaka huu, na alijiunga na mabingwa wa ligi Liverpool akitokea timu ya Rivers Angels.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako