Kwa sasa Yanga, ambao wamewavua Azam ubingwa huo, ni wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya CAF, wakiwa na kazi ya kuitoa Etoile du Sahel mapema mwezi ujao katika hatua ya 16 ya kombe la Shirikisho.
Kocha mkuu wa Yanga Hans Pluijim amefurahishwa na kushinda taji la ligi kuu Tanzania, na kwamba wachezaji wamejituma na wamefanikiwa.
| © China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |