Mashindano ya 14 ya kuwania kombe la Badminton maarufu kama Sudirman yatafanyika mwezi ujao mjini Dongguan, mkoa wa Sudirman, Guandong kusini mwa China. Manispaa ya mji huo ambayo inaandaa mashindano hayo ya Kimataifa kwa mara ya kwanza inaendelea kukamilisha matayarisho kabla ya tarehe 10 ambayo ndio siku ya kuanza kwa mashindano.
Ronald Mutie yuko mjini Dongguang na anaripoti kuhusu maandalizi ya michezo hiyo.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |