• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hatua kali za kupambana na ufisadi

    (GMT+08:00) 2015-04-30 14:21:10

    Katika siku chache zilizopita serikali ya China ilitoa orodha ya majina ya watu 100 waliohusika na ufisadi na kukimbilia nje ya China kukwepa mkono wa Sheria. Orodha hiyo ni sehemu tu ya watu waliohusika na ufisadi na sasa serikali ya China inafanya juhudi kuwarudisha nyumbani. Hatua hii ya serikali ya China imeibua tena mjadala kuhusu juhudi za kupambana na ufisadi zinazoendelea hapa China. Inawezekana wasikilizaji wetu mtakuwa mnakumbuka kuwa tangu Rais Xi Jinping aingie madarakani, juhudi za kupambana na ufisadi na kusafisha chama zimepewa msukomo mkubwa. Kwenye kampeni hiyo Rais Xi Jinping alisema kumbakumba hii itawakamata "nzi na Chui". Kwa kufahamisha kwa undani, hetu tusikilize kipindi chetu.

     


    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako