• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwanaridha mashuhuri Kenya aibiwa.

    (GMT+08:00) 2015-05-06 14:24:07
    Mshidi mara mbili wa mbio za dunia za marathon na olimpiki Catherine Ndereba ameibiwa pesa na mali kutoka nyumba yake ya Nairobi.Polisi wanasema wezi pia waliiba sare za polisi wa magereza kwenye mtaa wa Karen anakoishi mwanariadha Ndereba ambaye pia ni askari wa magereza. Msemaji wa polisi Gatiria Mboroki amesema Ndereba na familia yake hawakujeruhiwa wakati wa kisa hicho kilichotokea jumatatu usiku wakati kukinyesha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako