• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  •  Riadha ya Pan Africa championship kufanyika Uganda mwoshoni mwa Mei.

    (GMT+08:00) 2015-05-07 14:35:20
    Michuano ya riadha ya Afrika (Pan Africa championship) itafanyika nchini Uganda mwishoni mwa mwezi huu katika mji mkuu Kampala.

    Mashindano hayo yatavutia wanariadha wa mbio fupi na ndefu kutoka ncho mbali mbali barani Afrika.

    Tanzania imetoa ithibati ya kushiriki kupitia katibu mkuu wa riadha nchini humo Suleiman Nyambui na miongoni mwa wakimbiaji wa Tanzania wanaotegemewa kushiriki ni pamoja na Fabian Joseph, Mary Naali, Natalia Elisante na Ismail Juma.

    Nchi nyingi, ikiwemo Kenya ilio na wanariadha mairi Afrika, zinategemewa kushiriki kwa sababu michuano hiyo itakuwa ni sehemu ya kufuzu kucheza Michezo ya Afrika (All Africa Games) itakayofanyika Congo Brazzaville kuanzania Septemba 4-19 mwaka huu

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako